Search This Blog

Tuesday, May 4, 2021

thumbnail

FAHAMU KUHUSU MCHEZO WA TENNIS (LAWN TENNIS)

 Mchezo wa tennis ni mchezo unao wakutanisha wapinzani mmoja mmoja (singles) au wawili wawili (doubles) wakitumia rackets zilizosukwa kwa string na zilizokazwa wakipigiana mpira (kitenesi) chenye size na uzito maalumu na pointi hupoteza yule ambaye hushindwa kurejesha mashambulizi ya mpira kupitia juu ya neti na kudunda mara moja tu katika mistari (mipaka) iliyochorwa.


Rafael Nadal, bingwa wa michuano ya grand slam mara 20, ni muhispania

Kiwanja cha mchezo wa tennis kina shape ya mraba, na kuna mistari kwa ajili ya kucheza ndani ya eneo hilo mtu ukipiga nje yake basi umepoteza point. 

Kama ilivyo michezo mingine mchezo wa tennis misamiati yake mingi sana kama sio yote inatumika kwa lugha ya kingereza, taasisi kubwa inayoshughulikia masuala ya sheria za tennis inaitwa ITF (International Tennis Federation)

Tennis court.
(image: https://www.courtsandgreens.com/wp-content/uploads/2018/04/tennis-court.jpg)

Tennis awali ilijulikana kama lawn tennis (mchezo wa sheria) huko Uingereza, na rasmi bado iko Uingereza, kwa sababu ilichezwa kwenye court (viwanja) vya nyasi na mabwana wa Victorian na wanawake. Sasa inachezwa kwenye sehemu mbalimbali.

Subscribe by Email

Follow Updates Articles from This Blog via Email

No Comments

Powered by Blogger.

Blog Archive

About